Yanga SC imeendeleza dozi kwa kuichapa Dodoma Jiji FC mabao 5-0 katika mchezo wa raundi ya 30 ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Amaan, Zanzibar.
magoli ya Yanga yametoka kwa Clatous Chama, Duke Abuya, Ibrahim Abdulla Bacca, Joash onyango la kujifunga na Maxi Nzengeli.
Baada ya mchezo huu, inafuata #KariakooDerby itakayoamua bingwa wa msimu huu….
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights