Azam FC wamekula kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
KMC wamepata magoli yao kutoka kwa Nzigamasabo Styve dakika ya 15 na George Makang’a dakika ya 18 wakati goli pekee la Azam likifungwa na Idris Mbombo dakika ya 18.
This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.
#Sports #Video #Highlights