Azam 2-1 Dodoma Jiji  | Highlights | NBC Premier League 09/11/2022

Azam 2-1 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 09/11/2022

Soccer

Azam FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara iliyopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Azam wametangulia kwa goli la Ismail Azizi Kader dakika ya 38, lakini dakika mbili baadaye Collins Opare akaisawazishia Dodoma Jiji bao dakika ya 41, lakini penati ya Idris Mbombo dakika ya 90.

This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers by driving traffic to them for free. The featured image in this article is the thumbnail of the embedded video. Thank you for visiting Win Big Sports Network and wbsnsports.com. For more sports, news, and entertainment, follow us on Twitter @WBSNsports or like our page on Facebook.

#Sports #Video #Highlights