Magoli | Namungo 2-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 30/06/2026
#NBCPL Mtibwa Sugar wameshuka rasmi daraja kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Namungo FC. Waliotangulia kufunga walikuwa ni wao kupitia kwa Evans Fabian, lakini Namungo waliamka na kupiga mbili kupitia kwa Godfrey Luzendaze na Jacob Masawe. Tazama magoli yote matatu FT: Namungo FC 2-1 Mtibwa Sugar. Mechi imepigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi. #NBCPL #NBCPremierLeague […]
Continue Reading