Magoli | JKT Tanzania 0-3 Yanga SC | NBC Premier League 30/06/2026
Yanga SC imehitimisha msimu wa Ligi Kuuya NBC 2025/26 kwa kishindo, ikiichapa JKT Tanzania mabao 3-0 kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kutwaa ubingwa wa tano mfululizo. Magoli yamefungwa na Prince Dube, Maxi Nzengeli na Laurindo Dilson Maria Depu. Haya hapa magoli.. This article was gathered automatically by our news bot. We help YouTubers […]
Continue Reading