Magoli | Fountain Gate FC 4-3 Singida BS | NBC Premier League 30/06/2026
#NBCPL Haya hapa magoli yote saba…. Singida BS akichezea kichapo, huku Mossi akipiga hattrick. Magoli ya Fountain yamefungwa na Henry David, Obasi MacDonald na Hasheem Kindemile aliyefunga mawili. Ni mech ya raundi ya 30 kuhitimisha msimu wa NBC Premier league 2025/26, kama ilivyopigwa kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mambo yalikuwa hivi… FT: Fountain […]
Continue Reading